Header Ads

VIDEO: Serikali imetenga Trilion 11.8 ili kutekeleza miradi ya maendeleo, vipaumbele vikuu vinne vimetajwa


Wakati dakika zikiendelea kuhesabiwa ili kuisikia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ikiwasilishwa bungeni nakusogezea hii taarifa ya hali ya uchumi 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa 2016/2017 ya Wizara ya fedha na mipango ilivyowasilisha na Waziri Philip Mpango.
Waziri Mpango ameyataja maeneo makuu manne ambayo amesema…>>>’Mpango umegawanyika katika maeneo makuu manne, kwanza hali ya uchumi wa dunia na mwenendo wa uchumi wa taifa kwa mwaka 2015, pili, utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2015/16
Tatu ni muhtasari wa mwelekeo wa uchumi kwa mwaka 2016/17 na nne ni maeneo ya Kipaumbele kwa mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2016/17

No comments

Powered by Blogger.