VIDEO: Ishu ya wakuu wa mikoa na wilaya kuombaomba pesa kwa wakurugenzi imefikishwa bungeni
Bado
tunaendelea kuzisogelea headlines za bungeni Dodoma, na leo June 7 2016
mkutano wa tatu kikao cha thelathini na nane kimeendelea na kazi kubwa
ikiwa ni maswali na majibu kutoka kwa wabunge na jukumu la kuyajibu
likibebwa na Mawaziri.
Moja ya
ajenda iliyochukua muda kujadiliwa ilikuwa ni ishu ya baadhi ya wakuu wa
mikoa na wilaya kukosa fedha za matumizi na kubaki ombaomba kwa kuomba
mafuta Wakurugenzi. Full stori nimekusogezea kwenye hii video..
No comments