Wanawe Kagame waichezea timu ya Rwanda Unknown 6:35 AM 0 Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji...
CONFIRMED: Man United imemsajili Eric Bailly leo June 8 2016 Unknown 6:51 AM 0 Klabu ya Manchester United ya Uingereza leo June 8 2016 imefanikiwa kumsajili beki ...
Stephen Curry amejiondoa kwenye michuano Olimpiki ya Rio 2016 Unknown 6:39 AM 0 Mchezaji bora wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, Stephen Curry, amejitoa katika kikosi cha Marekani ambacho kitaend...
Will Smith na Lennox Lewis wateuliwa kubeba jeneza la Muhammad Ali Unknown 4:26 AM 0 Staa wa filamu nchini Marekani, Will Smith na bingwa wa ngumi wa dunia, Lennox Lewis wameteuliwa kuwa miongoni mwa watu watakao...
Aubameyang awa mchezaji bora Ujerumani Unknown 9:56 PM 0 Mchezaji bora barani Afrika wa mwaka huu Pierre-Emerick Aubameyang ametawazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mwaka huu ya mchezaji bora...
TOP 10 YA WAFUNGAJI BORA ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MICHUANO YA EURO Unknown 9:50 PM 0 Haya sasa ule muda umewadia tena, Mashindano ya Euro yanakaribia kuanza tena. Mashi...
KAMA WEWE NI SHABIKI WA BARCELONA, UJUMBE HUU WA DANI ALVES UNAKUHUSU SANA Unknown 9:48 PM 0 Beki wa kulia wa Barcelona Dani Alves, ameitumikia klabu hiyo kwa takriban miaka nane na sasa anaondoka rasmi msimu huu na an...
Kesi ya Messi: Mwendesha Mashtaka na Mwanasheria mkuu wametoa ushauri huu kwa hakimu Unknown 9:45 PM 0 Mwendesha mashtaka wa serikali katika kesi ya Kukwepa kodi inayomkabili Lionel Messi na baba yake Jorge, amemshauri h...
Unknown 9:32 PM 0 Timu ya Manchester United inatarajiwa kukamilisha usajili wa mchezaji wa Swedan, Zlatan Ibrahimovic kabla ya kuanza kwa michuano...
Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA Unknown 8:34 PM 0 Usiku wa May 28 2016 wapenda soka wote duniani macho na masikio yao ilikuwa ni katik...
KUELEKEA FAINALI YA UEFA, FAHAMU MAMBO 14 MUHIMU KATI YA SIMEONE NA ZIDANE Unknown 7:17 AM 0 Na Mahmoud Rajab Kesho Mei 28 katika dimba la San Siro, kutakuwa na pambano kali la fainali ya UEFA pale Real Madri...
#UCLFinal: C. Ronaldo – Rekodi 2 anazoweza kuzivunja, ataweza kuondoa ukame wa San Siro, na vitu wanavyotakiwa kufanya Atletico kumzuia asiwadhuru Unknown 7:13 AM 0 Cristiano Ronaldo alifunga mara ya mwisho Real Madrid walipokutana na Atletico katika fainali ya UEFA Champions League, lakini je atafanik...
TAIFA STARS KWENDA KENYA KESHO Unknown 7:14 AM 0 Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania – Taifa Stars, chini ya makocha Charles Boniface Mkwasa na Hemed Morocco kinatarajiwa ku...
JOSE MOURINHO KUSAINI MAN UNITED KABLA IJUMAA KWISHA! Unknown 7:10 AM 0 Jose Mourinho anatarajiwa kusaini Mkataba wa kujiunga na Manchester United kabla Ijumaa kwisha licha ya kwamba mazungumzo ya...
TANZANIA KUTOANDAA CECAFA KAGAME CUP Unknown 7:09 AM 0 Shirikisho a Soka Tanzana (TFF), limetangaza kutoandaa michuano ya kuwania Kombe la timu za nchi wanachama wa Shirikisho la ...
Mourinho: Mambo 10 ya kufanya kuelekea kwenye mafanikio Man Utd – Part 2 Unknown 10:12 PM 0 Hatimaye Louis van Gaal amesitishiwa mkataba wake na Manchester United na dakili zite zinaonyesha kwamba Jose Mourinho atamrithi Mdachi...
Comment ya bilionea kijana Afrika baada ya Simba kumaliza msimu bila Kombe na kipigo Unknown 10:30 PM 0 Msimu wa 2015/2016 wa Ligi Kuu soka Tanzania ndio ulikuwa msimu ambao Simba wame...
Je,kombe la FA litamnusuru Van Gaal? Unknown 10:34 AM 0 Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal bado anaamini kwamba kilabu yake inaweza kufuzu katika michuano ya vilabu bingwa Ul...
Jeraha lamuweka Welbeck nje kwa miezi 9 Unknown 10:31 AM 0 Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na Uingereza Danny Welbeck hatocheza kwa miezi tisa baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na jeraha la got...
West Ham walaza Manchester United Unknown 10:29 AM 0 Klabu ya West Ham United iliaga uwanja wake wa nyumbani wa Upton Park kwa kuvuruga juhudi za Manchester United za kutaka kufuzu kwa Ligi y...