Header Ads

Taarifa ya bunge kuhusu afya ya Spika Job Ndugai na habari zinazosambazwa mitandaoni


Kumekuwa na baadhi ya taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu afya ya spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai kuwa ni mgonjwa ndiomaana haonekani katika shughuli za bunge.
Leo June 8 2016 ofisi ya bunge Dodoma imetoa taarifa rasmi inayosema..’Hali ya spika ni njema na yupo nchini India kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake kufuatia maelekezo ya daktari wake kumtaka afanye hivyo
Tunawaomba watanzania wote wenye nia njema na spika wetu waendelee kupuuza taarifa zinazotolewa kupitia mitandao ya kijamii na waendelee kumwombea ili afya yake iimalike haraka na kurejea nchini mapema.

No comments

Powered by Blogger.